sw_tn/lev/05/01.md

20 lines
629 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendlea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda
# ushahidi fulani kuhusu kile alichotakiwa kushudia
Sheria na viongozi wa kiyahudi viliwataka watu kushuhudia iwapo walikuwa mashahidi kwa uharifu. Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "jambo fulani ambalo hakimu amemtaka yeye kushuhudia"
# Mungu amekitaja kuwa ni najisi
Kitu fulani ambacho Mungu amekita kuwa hakiwafai watu kukigusa au kukila kimesemwa kuwa kana kwamba kilikuwa kichafu kwa mwonekano.
# mzoga
"maiti"
# yeye ni najisi
Mtu asiyekubalika katika makusudi ya Munngu husemwa kana kwamba ni mtu aliyekuwa mchafu kimwili.