sw_tn/lev/05/01.md

629 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendlea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda

ushahidi fulani kuhusu kile alichotakiwa kushudia

Sheria na viongozi wa kiyahudi viliwataka watu kushuhudia iwapo walikuwa mashahidi kwa uharifu. Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "jambo fulani ambalo hakimu amemtaka yeye kushuhudia"

Mungu amekitaja kuwa ni najisi

Kitu fulani ambacho Mungu amekita kuwa hakiwafai watu kukigusa au kukila kimesemwa kuwa kana kwamba kilikuwa kichafu kwa mwonekano.

mzoga

"maiti"

yeye ni najisi

Mtu asiyekubalika katika makusudi ya Munngu husemwa kana kwamba ni mtu aliyekuwa mchafu kimwili.