sw_tn/lev/04/34.md

805 B

pembe za madhabahu

Tazama maelezo ya sura ya 4:6 ili kuona linavyofasiriwa.

naye ataimwaga damu yake yote

"Naye ataimwaga damu yake yote iliyobaki"

Naye tayakata mafuta

"Naye" hapa humrejelea mtu anayetoa hiyo dhabihu.

kama tu vile yakatwavyo mafuta ya mwana-kondoo

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta ya Mwana-kondoo"

matoleo ya Yahweh yafanywayo kwa moto

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Matoleo ya kuteketezwa kwa Yahweh

atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa dhambi aliyoifanya

Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. :atapatanisha kwa ajili ya dhambi aliyotenda huyo mtu"

na mtu huyo atakuwa amesahewa.

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasameha dhambi ya mtu huyo"