sw_tn/lev/04/34.md

28 lines
805 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pembe za madhabahu
Tazama maelezo ya sura ya 4:6 ili kuona linavyofasiriwa.
# naye ataimwaga damu yake yote
"Naye ataimwaga damu yake yote iliyobaki"
# Naye tayakata mafuta
"Naye" hapa humrejelea mtu anayetoa hiyo dhabihu.
# kama tu vile yakatwavyo mafuta ya mwana-kondoo
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta ya Mwana-kondoo"
# matoleo ya Yahweh yafanywayo kwa moto
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Matoleo ya kuteketezwa kwa Yahweh
# atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa dhambi aliyoifanya
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. :atapatanisha kwa ajili ya dhambi aliyotenda huyo mtu"
# na mtu huyo atakuwa amesahewa.
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasameha dhambi ya mtu huyo"