sw_tn/lev/04/29.md

358 B

Ataweka mkono wake juu ya kichwa

Tazama mafafanuzi katika sura ya 1:3 uone lilivyofasiriwa

Kuhani atachukua kiasi cha damu

Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu ya kwenye bakuli wakati ilipotiririka kutoka kwa mnyama

pembe za madhabahu

Tazama katika sura ya 4:6 uone lilivyofasiriwa.

Damu yote iliyobaki

Damu yote iliyobaki kwenye bakuli.