# Ataweka mkono wake juu ya kichwa Tazama mafafanuzi katika sura ya 1:3 uone lilivyofasiriwa # Kuhani atachukua kiasi cha damu Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu ya kwenye bakuli wakati ilipotiririka kutoka kwa mnyama # pembe za madhabahu Tazama katika sura ya 4:6 uone lilivyofasiriwa. # Damu yote iliyobaki Damu yote iliyobaki kwenye bakuli.