sw_tn/lev/04/29.md

16 lines
358 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ataweka mkono wake juu ya kichwa
Tazama mafafanuzi katika sura ya 1:3 uone lilivyofasiriwa
# Kuhani atachukua kiasi cha damu
Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu ya kwenye bakuli wakati ilipotiririka kutoka kwa mnyama
# pembe za madhabahu
Tazama katika sura ya 4:6 uone lilivyofasiriwa.
# Damu yote iliyobaki
Damu yote iliyobaki kwenye bakuli.