sw_tn/lev/04/26.md

12 lines
310 B
Markdown

# Naye atateketeza
"Kuhani atateketeza
# Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtawala
Ile nomino dhahania "upatanisho"yaweza kutaamkwa kama kitenzi. : "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya mtawala"
# naye mtawala kulingana
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtawala"