# Naye atateketeza "Kuhani atateketeza # Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtawala Ile nomino dhahania "upatanisho"yaweza kutaamkwa kama kitenzi. : "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya mtawala" # naye mtawala kulingana Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtawala"