sw_tn/lev/04/26.md

310 B

Naye atateketeza

"Kuhani atateketeza

Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtawala

Ile nomino dhahania "upatanisho"yaweza kutaamkwa kama kitenzi. : "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya mtawala"

naye mtawala kulingana

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtawala"