sw_tn/lev/04/24.md

24 lines
421 B
Markdown

# Naye ataweka
"Mtawala ataweka"
# ataweka mkono wake juu ya kichwa
Tazama lilivyofassiriwa katika sura ya 1:3
# mahali ambapo huchinja
"makuhani wanapochinja"
# mbele za Yahweh
"katika uwepo wa Yahweh" au kwa Yahweh"
# Kuhani ataichukua damu
Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu kwenye bakuli damu ilipotirirka kutoka kwa mbuzi.
# pembe za madhabahu
Tazama maelezo kwenye sura ya 4:6 uone linavyofasiriwa