sw_tn/lev/04/24.md

421 B

Naye ataweka

"Mtawala ataweka"

ataweka mkono wake juu ya kichwa

Tazama lilivyofassiriwa katika sura ya 1:3

mahali ambapo huchinja

"makuhani wanapochinja"

mbele za Yahweh

"katika uwepo wa Yahweh" au kwa Yahweh"

Kuhani ataichukua damu

Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu kwenye bakuli damu ilipotirirka kutoka kwa mbuzi.

pembe za madhabahu

Tazama maelezo kwenye sura ya 4:6 uone linavyofasiriwa