# Naye ataweka "Mtawala ataweka" # ataweka mkono wake juu ya kichwa Tazama lilivyofassiriwa katika sura ya 1:3 # mahali ambapo huchinja "makuhani wanapochinja" # mbele za Yahweh "katika uwepo wa Yahweh" au kwa Yahweh" # Kuhani ataichukua damu Inamaanisha kwamba kuhani aliikinga damu kwenye bakuli damu ilipotirirka kutoka kwa mbuzi. # pembe za madhabahu Tazama maelezo kwenye sura ya 4:6 uone linavyofasiriwa