sw_tn/lev/04/18.md

16 lines
302 B
Markdown

# Ataweka
"Naye kuhani ataweka"
# pembe za madhabahu
hii hurejelea kona za madhabahu. Zimechongwa kama pembe za ng'ombe. Tazama lilivyofasiriwa katika Sura ya 4:6
# ataimwaga damu yote
Ataimwaga damu iliyosalia
# mafuta yote kutoka kwake
"mafuta yote kutoka kwa mnyama na kuyachoma hayo mafuta"