# Ataweka "Naye kuhani ataweka" # pembe za madhabahu hii hurejelea kona za madhabahu. Zimechongwa kama pembe za ng'ombe. Tazama lilivyofasiriwa katika Sura ya 4:6 # ataimwaga damu yote Ataimwaga damu iliyosalia # mafuta yote kutoka kwake "mafuta yote kutoka kwa mnyama na kuyachoma hayo mafuta"