sw_tn/lev/04/06.md

314 B

kuinyunyiza

"kutiririsha sehemu yake" au "kudondosha sehemu yake"

pembe za madhabahu

hii humaanisha kwenye kona za madhabahu. Zimesongoka kama pembe za makisai. : "Michomozo iliyo kwenye kona za madhabahu"

ataimwaga chini

"ataitupa nje damu iliyobaki"

kwenye kitako cha madhabahu

chini ya madhabahu