# kuinyunyiza "kutiririsha sehemu yake" au "kudondosha sehemu yake" # pembe za madhabahu hii humaanisha kwenye kona za madhabahu. Zimesongoka kama pembe za makisai. : "Michomozo iliyo kwenye kona za madhabahu" # ataimwaga chini "ataitupa nje damu iliyobaki" # kwenye kitako cha madhabahu chini ya madhabahu