sw_tn/lev/04/06.md

16 lines
314 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuinyunyiza
"kutiririsha sehemu yake" au "kudondosha sehemu yake"
# pembe za madhabahu
hii humaanisha kwenye kona za madhabahu. Zimesongoka kama pembe za makisai. : "Michomozo iliyo kwenye kona za madhabahu"
# ataimwaga chini
"ataitupa nje damu iliyobaki"
# kwenye kitako cha madhabahu
chini ya madhabahu