sw_tn/lev/04/01.md

20 lines
810 B
Markdown

# Yahweh akazungumza na Musa akisema, "Waambie watu wa Israeli, 'mtu yeyote atendapo dhambi
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu halisi yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotajwa. : Yahweh akazungumza na Musa na akamwambia awaambie watu wa Israeli hivi: 'Mtu yeyote atendapo dhambi"
# ambayo Yahweh ameagiza yasitendwe
Hili laweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ambayo Yahweh amewaamru watu wastende"
# endapo anafanya jambo fulani lililokatazwa,
Hili laweza kufasriwa katika mtindo tendaji. : "iwapo anafanya jambo ambalo Yahweh aliruhusu"
# yafuatayo lazima yafanyike
Hiii yaaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "yapasa afanye yafuatayo"
# na kuleta hatia juu ya watu
Ile nomono dhahania "hatia" yaweza kutamkwa kama kivumishi. : "kwa kiasi cha kusababisha watu kujisikia wenye hatia"