# Yahweh akazungumza na Musa akisema, "Waambie watu wa Israeli, 'mtu yeyote atendapo dhambi Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu halisi yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotajwa. : Yahweh akazungumza na Musa na akamwambia awaambie watu wa Israeli hivi: 'Mtu yeyote atendapo dhambi" # ambayo Yahweh ameagiza yasitendwe Hili laweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ambayo Yahweh amewaamru watu wastende" # endapo anafanya jambo fulani lililokatazwa, Hili laweza kufasriwa katika mtindo tendaji. : "iwapo anafanya jambo ambalo Yahweh aliruhusu" # yafuatayo lazima yafanyike Hiii yaaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "yapasa afanye yafuatayo" # na kuleta hatia juu ya watu Ile nomono dhahania "hatia" yaweza kutamkwa kama kivumishi. : "kwa kiasi cha kusababisha watu kujisikia wenye hatia"