sw_tn/lev/04/01.md

810 B

Yahweh akazungumza na Musa akisema, "Waambie watu wa Israeli, 'mtu yeyote atendapo dhambi

Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu halisi yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotajwa. : Yahweh akazungumza na Musa na akamwambia awaambie watu wa Israeli hivi: 'Mtu yeyote atendapo dhambi"

ambayo Yahweh ameagiza yasitendwe

Hili laweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ambayo Yahweh amewaamru watu wastende"

endapo anafanya jambo fulani lililokatazwa,

Hili laweza kufasriwa katika mtindo tendaji. : "iwapo anafanya jambo ambalo Yahweh aliruhusu"

yafuatayo lazima yafanyike

Hiii yaaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "yapasa afanye yafuatayo"

na kuleta hatia juu ya watu

Ile nomono dhahania "hatia" yaweza kutamkwa kama kivumishi. : "kwa kiasi cha kusababisha watu kujisikia wenye hatia"