sw_tn/lev/03/15.md

634 B

Naye ataziondoa pia

Neno "naye" hapa humaanisha mtu anayetoa dhabihu.

ataiteketeza hiyo yote juu ya madhabahu kuwa matoleo ya chakula ya kuteketezwa

Hapa haikukusudiwa kumaanisha kwamba Yahweh hula chakula. : "ataviteketeza vitu hivyo juu ya madhabahu viwe sadaka kwa Yahweh. Kitakuwa ni chakula chao alichopwa Yahweh"

kutoa harufu ya kupendeza

Yahweh hupendezwa na harufu ya nyama iliyochomwa anapopendezwa na usafi wa aabuduye. Tazama lilivyotafsiriwa katika 1:7

Itakuwa ni amri ya kudumu kwa vizazi vya watu wako

Hii humaanisha kwamba wao pamoja na vizazi vyao lazima waitii amri hii.

au damu

"au kutumia damu"