sw_tn/lev/03/15.md

20 lines
634 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Naye ataziondoa pia
Neno "naye" hapa humaanisha mtu anayetoa dhabihu.
# ataiteketeza hiyo yote juu ya madhabahu kuwa matoleo ya chakula ya kuteketezwa
Hapa haikukusudiwa kumaanisha kwamba Yahweh hula chakula. : "ataviteketeza vitu hivyo juu ya madhabahu viwe sadaka kwa Yahweh. Kitakuwa ni chakula chao alichopwa Yahweh"
# kutoa harufu ya kupendeza
Yahweh hupendezwa na harufu ya nyama iliyochomwa anapopendezwa na usafi wa aabuduye. Tazama lilivyotafsiriwa katika 1:7
# Itakuwa ni amri ya kudumu kwa vizazi vya watu wako
Hii humaanisha kwamba wao pamoja na vizazi vyao lazima waitii amri hii.
# au damu
"au kutumia damu"