# Naye ataziondoa pia Neno "naye" hapa humaanisha mtu anayetoa dhabihu. # ataiteketeza hiyo yote juu ya madhabahu kuwa matoleo ya chakula ya kuteketezwa Hapa haikukusudiwa kumaanisha kwamba Yahweh hula chakula. : "ataviteketeza vitu hivyo juu ya madhabahu viwe sadaka kwa Yahweh. Kitakuwa ni chakula chao alichopwa Yahweh" # kutoa harufu ya kupendeza Yahweh hupendezwa na harufu ya nyama iliyochomwa anapopendezwa na usafi wa aabuduye. Tazama lilivyotafsiriwa katika 1:7 # Itakuwa ni amri ya kudumu kwa vizazi vya watu wako Hii humaanisha kwamba wao pamoja na vizazi vyao lazima waitii amri hii. # au damu "au kutumia damu"