sw_tn/lev/03/06.md

12 lines
420 B
Markdown

# amtoe mbele za Yahweh
"amtoe mkatika uwepo wa Yahweh" au "amte kwa Yahweh"
# Ataweka mkono wake juu ya kichwa
Hili ni tendo la kiishara ambalo humfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Kwa njia hii mtu huyo atakuwa anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kupitia mnyama.
# wana wa Aroni watanyunyiza damu
Inaashiria kwamba kabla hawajanyunyiza hiyo damu, waliikinga kwanza kwenye bakuli ilipokuwa inachuruzika kutoka kwa mnyama