# amtoe mbele za Yahweh "amtoe mkatika uwepo wa Yahweh" au "amte kwa Yahweh" # Ataweka mkono wake juu ya kichwa Hili ni tendo la kiishara ambalo humfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Kwa njia hii mtu huyo atakuwa anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kupitia mnyama. # wana wa Aroni watanyunyiza damu Inaashiria kwamba kabla hawajanyunyiza hiyo damu, waliikinga kwanza kwenye bakuli ilipokuwa inachuruzika kutoka kwa mnyama