sw_tn/lev/03/06.md

420 B

amtoe mbele za Yahweh

"amtoe mkatika uwepo wa Yahweh" au "amte kwa Yahweh"

Ataweka mkono wake juu ya kichwa

Hili ni tendo la kiishara ambalo humfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Kwa njia hii mtu huyo atakuwa anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kupitia mnyama.

wana wa Aroni watanyunyiza damu

Inaashiria kwamba kabla hawajanyunyiza hiyo damu, waliikinga kwanza kwenye bakuli ilipokuwa inachuruzika kutoka kwa mnyama