sw_tn/lev/03/03.md

20 lines
566 B
Markdown

# Matumbo
Hili ni tumbo na utumbo
# ya kiununi
Hii ni sehemu ya mwili wa mnyama kwenye maeneo ya ndani ya uti wa mgongo kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.
# kitambi cha ini
Hii ni sehemu ya ini iliyojikunja au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa ni sehemu ya ini iliyobora kabisa kwa kula. : "Sehemu ya ini iliyobora"
# Hii italeta harufu ya kupendeza mbele za Yahweh
Tazama ufafanuzi uliotolewa katika sura ya 1:7
# itakuwa sadaka itolewayo Kwake kwa moto.
Hili laweza kutafsiriwa katika mtindo tendaji. : "nayo itakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh"