sw_tn/lev/03/03.md

566 B

Matumbo

Hili ni tumbo na utumbo

ya kiununi

Hii ni sehemu ya mwili wa mnyama kwenye maeneo ya ndani ya uti wa mgongo kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.

kitambi cha ini

Hii ni sehemu ya ini iliyojikunja au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa ni sehemu ya ini iliyobora kabisa kwa kula. : "Sehemu ya ini iliyobora"

Hii italeta harufu ya kupendeza mbele za Yahweh

Tazama ufafanuzi uliotolewa katika sura ya 1:7

itakuwa sadaka itolewayo Kwake kwa moto.

Hili laweza kutafsiriwa katika mtindo tendaji. : "nayo itakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh"