# Matumbo Hili ni tumbo na utumbo # ya kiununi Hii ni sehemu ya mwili wa mnyama kwenye maeneo ya ndani ya uti wa mgongo kati ya mbavu na mfupa wa nyonga. # kitambi cha ini Hii ni sehemu ya ini iliyojikunja au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa ni sehemu ya ini iliyobora kabisa kwa kula. : "Sehemu ya ini iliyobora" # Hii italeta harufu ya kupendeza mbele za Yahweh Tazama ufafanuzi uliotolewa katika sura ya 1:7 # itakuwa sadaka itolewayo Kwake kwa moto. Hili laweza kutafsiriwa katika mtindo tendaji. : "nayo itakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh"