sw_tn/lev/02/14.md

16 lines
475 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake
# iliyobanikwa kenye moto, na kupondwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ile uliyoipika kwenye moto na kisha kusagwa"
# sadaka ya kuwakilisha
Tazama maelezo katika sura ya 2:1
# Hii ni sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto.
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Hii ni sadaka ya kutekezwa kwa Yahweh"