# Taarifa kwa ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake # iliyobanikwa kenye moto, na kupondwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ile uliyoipika kwenye moto na kisha kusagwa" # sadaka ya kuwakilisha Tazama maelezo katika sura ya 2:1 # Hii ni sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Hii ni sadaka ya kutekezwa kwa Yahweh"