sw_tn/lev/02/14.md

475 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake

iliyobanikwa kenye moto, na kupondwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Ile uliyoipika kwenye moto na kisha kusagwa"

sadaka ya kuwakilisha

Tazama maelezo katika sura ya 2:1

Hii ni sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Hii ni sadaka ya kutekezwa kwa Yahweh"