sw_tn/lev/01/14.md

12 lines
320 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda
# nyonga shingo na kukinyoa kichwa chake,
popotoa/songonyoa kichwa chake na kuking'oa kutoka mwilini
# Kisha damu yake itachuruzishwa
Sentensi hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji: "Kisha itampasa kuhani kuichuruzisha damu yake"