sw_tn/lev/01/14.md

320 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda

nyonga shingo na kukinyoa kichwa chake,

popotoa/songonyoa kichwa chake na kuking'oa kutoka mwilini

Kisha damu yake itachuruzishwa

Sentensi hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji: "Kisha itampasa kuhani kuichuruzisha damu yake"