# Taarifa kwa ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda # nyonga shingo na kukinyoa kichwa chake, popotoa/songonyoa kichwa chake na kuking'oa kutoka mwilini # Kisha damu yake itachuruzishwa Sentensi hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji: "Kisha itampasa kuhani kuichuruzisha damu yake"