sw_tn/lev/01/07.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda ili matoleo yatakubalika kwa kwake.
# wataweka moto juu ya madhabahu na kuweka kuni ili kuuchochea huo moto
Hili laweza kumaanisha kwamba makuhani mkaa wa moto juu ya madhabahu, kisha wakaweka kuni juu ya mkaa. : wataweka kunu juu ya madhabahu na kuwasha moto"
# kuuchochea huo moto
Hii ni nahau inayomaanisha kuendelea kuweka kuni kwenye moto. Moto juu ya madhabahu nilazima uendelee kuwaka bila kuzimika
# Lakini matumbo yake na miguu ataiosha kwa maji
Mtu huyo angefanya hivi kabla hajavitoa vipande kwa makuhani waviweke juu moto. U naweza kutamka hivi mwishoni mwa 1:5
# Mtumbo
Ni hilo tumbo na utumbo
# naye ataiosha
Hapa neno "naye" humaanisha anayetoa hiyo sadaka.
# nayo italeta harufu ya kupendeza kwangu
Yahweh akiwa amependezwa na utoaji dhabihu wa dhati wa aabuduye unamezungumziwa kana kwamba Yahweh alikuwa amependezwa na harufu nzuri ya dhabihu.
# sadaka iliyofanywa kwangu kwa moto.
Yahweh anamwambia Musa kwamba ni lazima matoleo yawe yanachomwa kwa moto. Hili laweza kutamkwa katika muundo tendaji. : "sadaka ya kuteketezwa kwangu"