sw_tn/lev/01/07.md

1.1 KiB

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda ili matoleo yatakubalika kwa kwake.

wataweka moto juu ya madhabahu na kuweka kuni ili kuuchochea huo moto

Hili laweza kumaanisha kwamba makuhani mkaa wa moto juu ya madhabahu, kisha wakaweka kuni juu ya mkaa. : wataweka kunu juu ya madhabahu na kuwasha moto"

kuuchochea huo moto

Hii ni nahau inayomaanisha kuendelea kuweka kuni kwenye moto. Moto juu ya madhabahu nilazima uendelee kuwaka bila kuzimika

Lakini matumbo yake na miguu ataiosha kwa maji

Mtu huyo angefanya hivi kabla hajavitoa vipande kwa makuhani waviweke juu moto. U naweza kutamka hivi mwishoni mwa 1:5

Mtumbo

Ni hilo tumbo na utumbo

naye ataiosha

Hapa neno "naye" humaanisha anayetoa hiyo sadaka.

nayo italeta harufu ya kupendeza kwangu

Yahweh akiwa amependezwa na utoaji dhabihu wa dhati wa aabuduye unamezungumziwa kana kwamba Yahweh alikuwa amependezwa na harufu nzuri ya dhabihu.

sadaka iliyofanywa kwangu kwa moto.

Yahweh anamwambia Musa kwamba ni lazima matoleo yawe yanachomwa kwa moto. Hili laweza kutamkwa katika muundo tendaji. : "sadaka ya kuteketezwa kwangu"