sw_tn/lev/01/01.md

12 lines
499 B
Markdown

# Yahweh
Hili ndilo jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika Agano la Kale.
# kutoka kweye hema la kukutania, akisema, "Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'Mtu yeyote
Hapa Yahweh anaanza kuzungumza na Musa. Hotuba hii inamalizikia katika 3:17. Hii inaweza kufasiriwa bila nukuu ndani ya nukuu. :"Kutoka kwenye hema la kukutania na akamwambia Musa kuzungumza na watu wa Israeli: 'Mtu yeyote aletapo"
# 'Mtu yeyote kutoka miongoni mwenu
"mmoja wenu yeyote" au "yeyote wa kwenu"