sw_tn/lev/01/01.md

499 B

Yahweh

Hili ndilo jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika Agano la Kale.

kutoka kweye hema la kukutania, akisema, "Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'Mtu yeyote

Hapa Yahweh anaanza kuzungumza na Musa. Hotuba hii inamalizikia katika 3:17. Hii inaweza kufasiriwa bila nukuu ndani ya nukuu. :"Kutoka kwenye hema la kukutania na akamwambia Musa kuzungumza na watu wa Israeli: 'Mtu yeyote aletapo"

'Mtu yeyote kutoka miongoni mwenu

"mmoja wenu yeyote" au "yeyote wa kwenu"