sw_tn/lam/05/08.md

12 lines
337 B
Markdown

# Watumwa walitutawala
Maana inayo wezekana ni 1) "Sasa watu wanao tutawala wao wenyewe ni watumwa kwa mabwana zao Babilonia" (UDB) au 2) "Watu walikuwa watumwa Babilonia wanatutawala."
# kutuokoa na mikono yao
Hapa neno "mkono" la husu nguvu.
# kwasababu ya upanga wa nyikani
"kwasababu kuna watu nyikani wanao ua watu kwa upanga"