# Watumwa walitutawala Maana inayo wezekana ni 1) "Sasa watu wanao tutawala wao wenyewe ni watumwa kwa mabwana zao Babilonia" (UDB) au 2) "Watu walikuwa watumwa Babilonia wanatutawala." # kutuokoa na mikono yao Hapa neno "mkono" la husu nguvu. # kwasababu ya upanga wa nyikani "kwasababu kuna watu nyikani wanao ua watu kwa upanga"