sw_tn/lam/02/01.md

36 lines
1019 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Shairi lipya la anza. Mwandishi wa Maombolezo anatumia njia nyingi tofauti kuelezea kwamba watu wa Israeli wamepoteza upendeleo wa Mungu.
# wingu la hasira yake
Maana inayo wezekana ni 1) Mungu anatishia kuwadhuru watu wa Yerusalemu au 2) Mungu tayari amesha wadhuru
# binti wa Sayuni ... binti wa Yuda
Haya ni majina ya kishairi ya Yerusalemu, ambayo hapa yanazungumziwa kama ni mwanamke.
# Ametupa utukufu wa Israeli chini kutoka mbinguni hadi duniani
"Yerusalemu amepoteza upendeleo wote na Bwana"
# Hajakumba
"hajatilia maanani"
# stuli yake
Hapa "stuli" ya wakilisha sehemu ambayo Mungu anaonyesha ukarimu wa kuwepo. Maana kadhaa hapa ni 1) "mji wake wa upendo Yerusalemu" au 2) "agano lake na Israeli."
# siku ya hasira yake
kipindi cha wakati kwa ujumla, sio siku ya masaa 24
# amemeza
"kaharibu kabisa" kama vile mnyama asivyo bakiza kitu anapo meza chakula
# miji imara ya binti wa Yuda
Maana zinazo wezekana ni 1) miji yote imaraYuda nzima, au 2) kuta imara za Yerusalemu.