# Maelezo ya Jumla Shairi lipya la anza. Mwandishi wa Maombolezo anatumia njia nyingi tofauti kuelezea kwamba watu wa Israeli wamepoteza upendeleo wa Mungu. # wingu la hasira yake Maana inayo wezekana ni 1) Mungu anatishia kuwadhuru watu wa Yerusalemu au 2) Mungu tayari amesha wadhuru # binti wa Sayuni ... binti wa Yuda Haya ni majina ya kishairi ya Yerusalemu, ambayo hapa yanazungumziwa kama ni mwanamke. # Ametupa utukufu wa Israeli chini kutoka mbinguni hadi duniani "Yerusalemu amepoteza upendeleo wote na Bwana" # Hajakumba "hajatilia maanani" # stuli yake Hapa "stuli" ya wakilisha sehemu ambayo Mungu anaonyesha ukarimu wa kuwepo. Maana kadhaa hapa ni 1) "mji wake wa upendo Yerusalemu" au 2) "agano lake na Israeli." # siku ya hasira yake kipindi cha wakati kwa ujumla, sio siku ya masaa 24 # amemeza "kaharibu kabisa" kama vile mnyama asivyo bakiza kitu anapo meza chakula # miji imara ya binti wa Yuda Maana zinazo wezekana ni 1) miji yote imaraYuda nzima, au 2) kuta imara za Yerusalemu.