sw_tn/jos/22/26.md

16 lines
574 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Makabila ya Rubeni, Gadi na nusu ya Manase wanatoa majibu yao sasa.
# iwe ni ushahidi kati yetu na ninyi
Madhabahu inazungumzwa kana kwamba ilikuwa ni ushahidi ambao ungeweza kushuhudia haki kwa makabila matatu.
# ili kwamba watoto wenu wasiweze kuwaambia watoto wetu katika siku zijazo kuwa, "Hamna sehemu katika Yahweh."'
Hii ni hali nadharia inayodhaniwa ambayo makabila matatu hayakutaka itokee.
# ili kwamba watoto wenu wasiweze kuwaambia watoto wetu katika siku zijazo kuwa, "Hamna sehemu katika Yahweh."'
"hakuna sehemu" au " hamna urithi"