# Maelezo ya jumla Makabila ya Rubeni, Gadi na nusu ya Manase wanatoa majibu yao sasa. # iwe ni ushahidi kati yetu na ninyi Madhabahu inazungumzwa kana kwamba ilikuwa ni ushahidi ambao ungeweza kushuhudia haki kwa makabila matatu. # ili kwamba watoto wenu wasiweze kuwaambia watoto wetu katika siku zijazo kuwa, "Hamna sehemu katika Yahweh."' Hii ni hali nadharia inayodhaniwa ambayo makabila matatu hayakutaka itokee. # ili kwamba watoto wenu wasiweze kuwaambia watoto wetu katika siku zijazo kuwa, "Hamna sehemu katika Yahweh."' "hakuna sehemu" au " hamna urithi"