sw_tn/jos/22/04.md

8 lines
327 B
Markdown

# kutembea katika njia zake
Mtu anayemtii Yahweh anasemwa kana kwamba alikuwa anatembea katika njia au barabara za Yahweh. "kutii kila kitu anachokisema"
# kwa moyo wenu wote na kwa roho zenu zote.
Maneno "moyo" na "roho" hapa yametumika kurejelea mtu mzima. "kwa vyote unavyovifikiria na kuvihisi" au "kwa utu wako mzima"