# kutembea katika njia zake Mtu anayemtii Yahweh anasemwa kana kwamba alikuwa anatembea katika njia au barabara za Yahweh. "kutii kila kitu anachokisema" # kwa moyo wenu wote na kwa roho zenu zote. Maneno "moyo" na "roho" hapa yametumika kurejelea mtu mzima. "kwa vyote unavyovifikiria na kuvihisi" au "kwa utu wako mzima"