sw_tn/jos/21/27.md

16 lines
460 B
Markdown

# Kutoka katika nusu ya kabila la Manase, jamaa za Gershoni, ambazo hizi zilikuwa ni koo zingine za Walawi, zilipewa Golan
Maelezo haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nusu ya kabila la Manase, koo zingine za walawi, walipokea kutoka kwa nusu ya kabila la Manase mji wa Golani."
# Golani...Beeshitera
Majina ya miji
# aliyeua mtu bila kukusudia
Hii na kifo kilichotokana na tendo la ambaye hakukusudia kumdhuru mtu.
# miji miwili
hesabu ya miji