# Kutoka katika nusu ya kabila la Manase, jamaa za Gershoni, ambazo hizi zilikuwa ni koo zingine za Walawi, zilipewa Golan Maelezo haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nusu ya kabila la Manase, koo zingine za walawi, walipokea kutoka kwa nusu ya kabila la Manase mji wa Golani." # Golani...Beeshitera Majina ya miji # aliyeua mtu bila kukusudia Hii na kifo kilichotokana na tendo la ambaye hakukusudia kumdhuru mtu. # miji miwili hesabu ya miji